-
Matendo 16:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Siku ya Sabato tukatoka nje ya lango kando ya mto, ambako tulifikiri kuna mahali pa sala, tukaketi na kuanza kuzungumza na wanawake waliokuwa wamekusanyika.
-
-
Matendo 16:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Na siku ya sabato tulitoka nje ya lango kando ya mto, ambako tulikuwa tukifikiri kulikuwako mahali pa sala; nasi tukaketi na kuanza kusema na wanawake waliokuwa wamekusanyika.
-