-
Matendo 19:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Lakini wengine walipoendelea kujifanya wenyewe wagumu na kutoamini, wakisema vibaya juu ya Ile Njia mbele ya umati, akaondoka kwao na kuwatenga wanafunzi kutoka kwao, kila siku akitoa hotuba nyingi katika jumba la hadhira la shule ya Tirano.
-