-
Matendo 19:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa kweli, idadi kubwa ya wale waliozoea kufanya ufundi wa kimzungu wakaleta pamoja vitabu vyao wakavichoma kabisa mbele ya kila mtu. Nao wakapiga pamoja hesabu za bei zavyo na kukuta vikiwa na thamani ya vipande elfu hamsini vya fedha.
-