Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 19:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Mwishowe, karani wa jiji akaunyamazisha umati, kisha akasema: “Watu wa Efeso, kwa kweli ni nani kati ya wanadamu ambaye hajui kwamba jiji la Efeso ndilo mlinzi wa hekalu la Artemi mkuu na sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni?

  • Matendo 19:35
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 35 Mwishowe, karani wa jiji alipokuwa ameunyamazisha umati kuwa kimya, akasema: “Wanaume wa Efeso, ni nani aliyeko kwa kweli kati ya wanadamu asiyejua kwamba jiji la Efeso ndilo mtunza-hekalu wa Artemisi mkubwa na wa sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni?

  • Matendo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 19:35

      Mnara wa Mlinzi,

      6/15/1990, uku. 20

      Neno la Mungu, kur. 64-65

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki