-
Matendo 20:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na alipokuwa ametumia miezi mitatu huko, kwa sababu njama ilitungwa dhidi yake na Wayahudi alipokuwa karibu kusafiri kwa mashua kwenda Siria, akakata shauri kurudi kupitia Makedonia.
-