-
Matendo 20:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 lakini sisi tukaanza kusafiri baharini kutoka Filipi baada ya siku za keki zisizotiwa chachu, nasi tukawajia wao katika Troasi mnamo siku tano; na huko tukakaa siku saba.
-