-
Matendo 20:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Na sasa nawakabidhi nyinyi kwa Mungu na kwa neno la fadhili yake isiyostahiliwa, neno ambalo laweza kuwajenga nyinyi na kuwapa nyinyi urithi miongoni mwa wale wote waliotakaswa.
-