-
Matendo 21:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Tulipofaulu kuachana nao na kusafiri baharini, tulienda moja kwa moja mpaka Kosi, siku iliyofuata tukafika Rode, na kutoka huko tukaenda Patara.
-
-
Matendo 21:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Sasa tulipokuwa tumejibandua kutoka kwao kwa nguvu na kusafiri baharini, tulikwenda kwa mwendo wa moja kwa moja tukaja hadi Kosi, lakini siku iliyofuata tukaja hadi Rodesi, na kutoka huko hadi Patara.
-