-
Matendo 21:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Baada ya kusikia hili wakaanza kumtukuza Mungu, nao wakamwambia: “Waona, ndugu, jinsi kulivyo na maelfu mengi ya waamini walio miongoni mwa Wayahudi; nao wote ni wenye bidii kuhusu Sheria.
-