-
Matendo 21:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini wamesikia uvumi ukitolewa juu yako kwamba wewe umekuwa ukiwafundisha Wayahudi wote miongoni mwa mataifa uasi-imani wa kumwacha Musa, ukiwaambia wasitahiri watoto wao wala kujiendesha katika desturi za kisherehe.
-