-
Matendo 21:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Chukua watu hawa pamoja nawe ujisafishe mwenyewe kisherehe pamoja nao na kuwagharamia, ili wapate kunyolewa vichwa vyao. Na kwa hiyo kila mtu atajua kwamba uvumi mwingi walioambiwa juu yako hauna kitu, bali kwamba unatembea kwa utaratibu, wewe mwenyewe pia ukishika Sheria.
-