-
Matendo 21:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Baada ya yeye kutoa ruhusa, Paulo, akiwa amesimama juu ya ngazi, akawapungia watu mkono wake. Kimya kikubwa kilipoingia, akawahutubia kwa lugha ya Kiebrania, akisema:
-