-
Matendo 24:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa maana tumemwona mwanamume huyu kuwa jamaa msumbufu na mwenye kufanya uchochezi wa uasi miongoni mwa Wayahudi wote katika dunia yote inayokaliwa na kuwa kiongozi mkuu wa farakano la Wanazareti,
-