-
Matendo 26:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi yote, nikijaribu kuwalazimisha wakane imani yao; na kwa sababu nilikuwa nimewakasirikia sana, nilifikia hatua ya kuwatesa hata katika majiji yaliyo mbali.
-
-
Matendo 26:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na kwa kuwaadhibu nyakati nyingi katika masinagogi yote nilijaribu kuwalazimisha wakane imani yao; na kwa kuwa nilikuwa mwenye kujawa na kichaa kupita kiasi dhidi yao, nilifikia hatua ya kuwanyanyasa hata katika majiji ya nje.
-