-
Matendo 26:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na kwa kuwaadhibu nyakati nyingi katika masinagogi yote nilijaribu kuwalazimisha wakane imani yao; na kwa kuwa nilikuwa mwenye kujawa na kichaa kupita kiasi dhidi yao, nilifikia hatua ya kuwanyanyasa hata katika majiji ya nje.
-