-
Matendo 27:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Na kulipokuwa kumekuwa na kujiepusha na chakula kwa muda mrefu, ndipo Paulo akasimama katikati yao na kusema: “Wanaume, hakika nyinyi mngalipaswa kufuata shauri langu na kutosafiri katika bahari kutoka Krete na hivyo kutopatwa na dhara na hasara hii.
-