-
Waroma 2:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa hiyo, ikiwa mtu asiyetahiriwa hushika matakwa ya uadilifu ya Sheria, kutotahiriwa kwake kutahesabiwa kuwa tohara, sivyo?
-