-
Waroma 3:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Sasa twajua kwamba mambo yote iyasemayo Sheria, hiyo huwaambia wale walio chini ya Sheria, ili kila kinywa kipate kukomeshwa na ulimwengu wote upate kuwa wastahili kupasishwa adhabu na Mungu.
-