-
Waroma 6:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Wala msiendelee kutoa viungo vyenu kwa dhambi kuwa silaha za ukosefu wa uadilifu, bali jitoeni nyinyi wenyewe kwa Mungu kama walio hai kutoka kwa wafu, pia viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za uadilifu.
-