-
Waroma 8:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Basi, ikiwa roho ya yule aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu yakaa katika nyinyi, yeye aliyemfufua Kristo Yesu kutoka kwa wafu atafanya pia miili yenu iwezayo kufa kuwa hai kupitia roho yake ikaayo katika nyinyi.
-