-
Waroma 9:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Zaidi ya hayo, Isaya hupaaza kilio kuhusu Israeli: “Ijapokuwa idadi ya wana wa Israeli huenda ikawa kama mchanga wa bahari, ni mabaki watakaookolewa.
-