-
Waroma 11:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Isitoshe, ikiwa sehemu ya donge inayochukuliwa iwe matunda ya kwanza ni takatifu, donge lote pia ni takatifu; na ikiwa mzizi ni mtakatifu, matawi pia yako hivyo.
-
-
Waroma 11:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Zaidi, ikiwa hiyo sehemu ichukuliwayo kuwa matunda ya kwanza ni takatifu, donge liko hivyo pia; na ikiwa mzizi ni mtakatifu, matawi yako hivyo pia.
-