-
Waroma 11:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Isitoshe, ikiwa sehemu ya donge inayochukuliwa iwe matunda ya kwanza ni takatifu, donge lote pia ni takatifu; na ikiwa mzizi ni mtakatifu, matawi pia yako hivyo.
-