-
Waroma 12:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Shangilieni na wale wanaoshangilia; lieni na wale wanaolia.
-
-
Waroma 12:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Shangilieni pamoja na watu washangiliao; toeni machozi pamoja na watu watoao machozi.
-