-
Waroma 13:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Walipeni wote haki zao, kwa yeye atakaye kodi, kodi; kwa yeye atakaye ushuru, ushuru; kwa yeye atakaye hofu, hofu hiyo; kwa yeye atakaye heshima, heshima hiyo.
-