-
Waroma 14:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Najua nami nashawishwa katika Bwana Yesu kwamba hakuna kitu kilicho najisi katika chenyewe; ni pale tu ambapo mtu afikiria kitu fulani kuwa najisi, hicho huwa najisi kwake.
-