-
Waroma 16:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa maana utii wenu umekuja kujulikana na wote. Kwa hiyo nashangilia juu yenu. Lakini nataka nyinyi mwe wenye hekima kuhusu lililo jema, bali wasio na hatia kuhusu lililo ovu.
-