-
2 Wakorintho 2:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kwa maana kwa sababu ya dhiki nyingi na maumivu makali ya moyo niliwaandikia nyinyi kwa machozi mengi, si ili mpate kuhuzunishwa, bali mpate kuujua upendo nilio nao hasa zaidi kwa ajili yenu.
-