-
2 Wakorintho 4:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 bali tumeyakataa kabisa mambo ya kichinichini yaliyo ya kuaibikia, si kutembea kwa ujanja, wala tukilighushi neno la Mungu, bali kwa kufanya kweli iwe dhahiri tukijipendekeza wenyewe kwa kila dhamiri ya kibinadamu machoni pa Mungu.
-