-
2 Wakorintho 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa maana sisi tunaoishi tunaletwa daima uso kwa uso na kifo kwa ajili ya Yesu, ili uhai wa Yesu upate kufanywa dhahiri pia katika mwili wetu uwezao kufa.
-