-
2 Wakorintho 5:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kwa kweli, sisi tulio katika hema hili twapiga kite, tukiwa tumelemewa; kwa sababu twataka, si kulivua, bali kuvaa lile jingine, ili kiwezacho kufa kipate kumezwa na uhai.
-