-
2 Wakorintho 5:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Hatujipendekezi wenyewe tena kwenu, bali tunawapa nyinyi kichocheo cha kujisifu kwa habari yetu, ili mpate kuwa na jibu la kuwapa wale ambao hujisifu juu ya kuonekana kwa nje lakini si juu ya moyo.
-