-
2 Wakorintho 10:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Basi mimi mwenyewe, Paulo, nawasihi sana nyinyi kwa upole na fadhili ya Kristo, ingawa mimi ni wa hali ya chini katika kuonekana miongoni mwenu, lakini nisipokuwapo mimi ni jasiri kuwaelekea nyinyi.
-