-
Waefeso 1:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Lakini nyinyi pia mlitumaini katika yeye baada ya kusikia neno la kweli, habari njema juu ya wokovu wenu. Kwa njia yake pia, baada ya nyinyi kuamini, mlitiwa muhuri kwa roho takatifu iliyoahidiwa,
-