-
Waefeso 2:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa njia ya mwili wake alibatilisha uadui, Sheria ya amri ambazo asili yazo ni katika maagizo, ili apate kuumba vile vikundi viwili vya watu katika muungano na yeye mwenyewe kuwa mtu mpya mmoja na kufanya amani;
-