-
Waefeso 5:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mtu yeyote asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa maana ghadhabu ya Mungu inakuja juu ya wana wa kutotii kwa sababu ya mambo hayo.
-
-
Waefeso 5:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Msiache mtu yeyote awadanganye nyinyi kwa maneno matupu, kwa maana kwa sababu ya mambo yaliyotangulia kusemwa hasira ya kisasi ya Mungu inakuja juu ya wana wa kutotii.
-