-
Waefeso 6:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 kwa maana nyinyi mwajua kwamba kila mmoja, uwapo wema wowote apatao kufanya, ataupokea kwa kurudishiwa na Yehova, kama yeye ni mtumwa au mtu huru.
-