-
Wakolosai 2:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 kwa maana mlizikwa pamoja naye katika ubatizo wake, na kwa uhusiano pamoja naye mliinuliwa pia pamoja kupitia imani yenu katika utendaji wa Mungu, aliyemfufua yeye kutoka kwa wafu.
-