-
Wakolosai 2:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Zaidi ya hilo, ingawa nyinyi mlikuwa wafu katika makosa yenu na katika hali ya kutotahiriwa ya mwili wenu, Mungu aliwafanya nyinyi kuwa hai pamoja naye. Yeye alitusamehe kwa fadhili makosa yetu yote
-