-
2 Wathesalonike 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 wala hatukula chakula kwa yeyote bure. Kinyume cha hilo, kwa kazi ya jasho na kumenyeka usiku na mchana tulikuwa tukifanya kazi ili tusimtwike yeyote kati yenu mzigo ulemeao wenye gharama.
-