-
1 Timotheo 4:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Bali kataa hadithi zisizo za kweli ambazo huhalifu kilicho kitakatifu na ambazo wanawake wazee husimulia. Kwa upande mwingine, uwe ukijizoeza mwenyewe ujitoaji-kimungu ukiwa shabaha yako.
-