Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Timotheo 6:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Pia, acheni wale walio na mabwana ambao ni waamini wasiwavunjie heshima kwa sababu wao ni ndugu zao. Badala yake, wanapaswa kuwatumikia kwa bidii zaidi, kwa sababu wale wanaonufaika na utumishi wao mzuri ni waamini wenzao wapendwa.

      Endelea kuwafundisha na kuwahimiza wafanye mambo haya.

  • 1 Timotheo 6:2
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 2 Zaidi ya hayo, wale walio na wamiliki wenye kuamini wasiwadharau, kwa sababu wao ni ndugu. Kinyume chake, waache wawe watumwa kwa utayari zaidi, kwa sababu wale wanaopokea manufaa ya utumishi wao mwema ni waamini na wapendwa.

      Fuliza kufundisha mambo haya na kutoa mahimizo haya yenye bidii.

  • 1 Timotheo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 6:2 w08 9/15 31

  • 1 Timotheo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 6:2

      Mnara wa Mlinzi,

      9/15/2008, uku. 31

      2/1/1991, uku. 21

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki