-
2 Timotheo 1:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa sababu hiihii ninapatwa pia na mambo haya, lakini siaibiki. Kwa maana najua yule ambaye nimeamini, nami nina hakika aweza kulinda kile ambacho nimeweka amana kwake hadi siku hiyo.
-