-
Tito 1:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Vitu vyote ni safi kwa watu safi. Lakini kwa watu waliotiwa unajisi na wasio na imani hakuna kitu chochote kilicho safi, bali akili zao na pia dhamiri zao zimetiwa unajisi.
-