-
Waebrania 1:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Yeye ndiye mrudisho wa utukufu wake na mwakilisho sawasawa wa utu wake wenyewe, naye hutegemeza vitu vyote kwa neno la nguvu yake; na akiisha kufanya utakaso wa dhambi zetu aliketi kwenye mkono wa kuume wa Ukuu katika mahali palipoinuka sana.
-