-
Waebrania 4:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa maana tuna kuhani wa cheo cha juu, si mmoja asiyeweza kushiriki hisia za udhaifu wetu mbalimbali, bali mmoja ambaye amejaribiwa katika mambo yote kama sisi wenyewe, lakini asiye na dhambi.
-