-
Waebrania 9:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 lakini ndani ya behewa la pili kuhani wa cheo cha juu peke yake huingia mara moja kwa mwaka, si bila damu, ambayo yeye hutoa kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za watu za kutokuwa na ujuzi.
-