-
Waebrania 11:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa imani pia Sara yeye mwenyewe alipokea nguvu ili kuchukua mimba ya mbegu, hata alipokuwa amepita kiwango cha umri, kwa kuwa alimkadiria kuwa mwaminifu yeye aliyekuwa ameahidi.
-