Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waebrania 11
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Waebrania—Yaliyomo

      • Maana ya imani (1, 2)

      • Mifano ya imani (3-40)

        • Haiwezekani kumpendeza Mungu bila imani (6)

Waebrania 11:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “uthibitisho wenye kuridhisha.”

Marejeo

  • +Ebr 11:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa, makala 19

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2019, uku. 26

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, kur. 21-23, 27

    Amkeni!,

    Na. 3 2016, uku. 12

    11/2011, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, uku. 7

    5/1/2009, uku. 3

    9/1/2005, uku. 16

    1/15/2003, uku. 10

    3/15/1997, uku. 6

    7/15/1993, uku. 13

    9/15/1991, uku. 10

    12/15/1989, uku. 10

    7/15/1987, uku. 3

    1/15/1987, uku. 11

    Igeni, uku. 5

    Kutoa Sababu, uku. 91

    Amani na Usalama, uku. 95

  • Fahirishi ya Machapisho

    g 11/11 3; w09 5/1 3; w05 9/1 16; rs 91; w03 1/15 10; w97 3/15 6

Waebrania 11:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “mababu zetu.”

Waebrania 11:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “vizazi.” Angalia Kamusi.

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1987, uku. 11

Waebrania 11:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “alitoa ushahidi kwa kukubali.”

Marejeo

  • +Mwa 4:5
  • +Mwa 4:4
  • +Mwa 4:8, 10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ibada Safi, kur. 15, 16-19

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, uku. 20

    1/1/2013, kur. 12, 13-15

    1/15/2002, uku. 23

    8/15/2000, kur. 13-14

    7/15/1993, uku. 16

    1/15/1987, uku. 11

    Igeni, kur. 9, 14-16

    Wapiga-Mbiu, kur. 13-14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w02 1/15 23; w00 8/15 13-14; jv 13-14

Waebrania 11:5

Marejeo

  • +Mwa 5:22; Yud 14
  • +Mwa 5:24

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    6/2017, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 1 2017 kur. 12-13

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/2006, uku. 19

    9/1/2005, uku. 15

    1/1/2004, uku. 29

    9/15/2001, uku. 31

    12/15/1999, uku. 22

    1/15/1997, kur. 30-31

    1/15/1987, kur. 11-12

    Wapiga-Mbiu, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 10/1 19; w05 9/1 15; w04 1/1 29; w01 9/15 31; w99 12/15 22; w97 1/15 30-31; jv 14

Waebrania 11:6

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “yuko hai.”

Marejeo

  • +Zb 58:11; Sef 2:3; Mt 5:12; 6:33

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 174

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 1 2021 uku. 9

    Furahia Maisha Milele!, somo la 12

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2016, kur. 24-28

    9/2016, uku. 9

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/2013, uku. 11

    9/15/2010, uku. 8

    6/1/2009, uku. 30

    10/1/2006, kur. 28-29

    8/1/2005, kur. 28-29

    8/15/2004, uku. 19

    8/15/2003, kur. 25-26

    12/15/2002, kur. 17-18

    3/1/1996, uku. 7

    9/15/1991, kur. 9-12

    1/15/1990, uku. 6

    Igeni, uku. 5

    Amkeni!,

    12/8/1994, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 9/15 8; w09 6/1 30; w06 10/1 28-29; w05 8/1 28-29; w04 8/15 19; w03 8/15 25-26; w02 12/15 17-18; w96 3/1 7

Waebrania 11:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “alimwogopa Mungu.”

Marejeo

  • +Mwa 6:8, 9
  • +Mwa 6:13, 17
  • +Mwa 6:14
  • +Mwa 6:22; 2Pe 2:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, kur. 27-28

    Mnara wa Mlinzi,

    8/1/2013, kur. 13-14

    9/15/2011, uku. 18

    11/15/2001, uku. 31

    12/15/1989, uku. 30

    10/1/1989, kur. 11, 15

    1/15/1987, uku. 12

    Amani na Usalama, uku. 118

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 9/15 18; w01 11/15 31

Waebrania 11:8

Marejeo

  • +Ro 4:9, 11
  • +Mwa 12:1, 4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2020, kur. 3-4

Waebrania 11:9

Marejeo

  • +Mwa 23:4
  • +Mwa 12:8
  • +Mwa 17:6; 26:3; 28:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2020, kur. 3-4

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1993, kur. 16-17

    7/1/1989, uku. 20

Waebrania 11:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “msanifu.”

Marejeo

  • +Ebr 11:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2020, kur. 2-4

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    2/2016, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, uku. 21

    3/15/2013, kur. 22-23

    8/15/2009, uku. 4

    10/15/2008, uku. 32

    5/1/2005, uku. 11

    8/15/2001, kur. 17-18

    7/15/1993, kur. 16-17

    7/1/1989, uku. 20

    1/15/1987, uku. 12

    Igeni, uku. 32

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 27

    “Kila Andiko,” kur. 19, 247

    Kuishi Milele, uku. 134

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 8/15 4; w08 10/15 32; w05 5/1 11; w01 8/15 17-18

Waebrania 11:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mbegu.”

  • *

    Au “anayetegemeka.”

Marejeo

  • +Mwa 17:17; 21:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, kur. 0, 803

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, uku. 21

    7/15/1993, uku. 17

    1/15/1987, uku. 12

Waebrania 11:12

Marejeo

  • +Ro 4:19
  • +Mwa 21:5
  • +Mwa 22:17; 1Fa 4:20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 803

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1993, uku. 17

    1/15/1987, uku. 12

Waebrania 11:13

Marejeo

  • +Mwa 47:9
  • +Yoh 8:56

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, uku. 22

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, kur. 20-21

    11/15/2011, kur. 16-17

    8/15/2001, kur. 19, 28-29

    7/15/1993, uku. 17

    1/15/1987, kur. 12-13

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 11/15 16-17; w01 8/15 19, 28-29

Waebrania 11:15

Marejeo

  • +Mwa 11:31

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2017 kur. 12-13

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1989, kur. 20-21

Waebrania 11:16

Marejeo

  • +Kut 3:6, 15
  • +Ebr 11:10; 12:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1998, uku. 11

    7/15/1993, uku. 17

    12/15/1989, uku. 10

    1/15/1987, uku. 13

    “Kila Andiko,” uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 1/15 11

Waebrania 11:17

Marejeo

  • +Mwa 22:1, 2
  • +Mwa 22:9, 10; Yoh 3:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, uku. 6

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/1998, kur. 11-12

    1/15/1987, uku. 13

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 8/15 11-12

Waebrania 11:18

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mbegu.”

Marejeo

  • +Mwa 21:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, uku. 6

Waebrania 11:19

Marejeo

  • +1Ko 10:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, uku. 6

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    2/2016, uku. 11

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2009, uku. 4

    1/15/1987, uku. 13

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 8/15 4

Waebrania 11:20

Marejeo

  • +Mwa 27:27-29
  • +Mwa 27:38-40

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1987, uku. 13

Waebrania 11:21

Marejeo

  • +Mwa 47:29
  • +Mwa 48:15, 16, 20
  • +Mwa 47:31

Waebrania 11:22

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, kutoka katika nchi ya Misri.

  • *

    Au “amri.”

  • *

    Au “mazishi.”

Marejeo

  • +Mwa 50:24, 25; Kut 13:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/1/2007, uku. 28

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 6/1 28

Waebrania 11:23

Marejeo

  • +Kut 2:2
  • +Mdo 7:20
  • +Kut 1:16, 22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/1/1997, kur. 30-31

    1/15/1987, kur. 13-14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 5/1 30-31

Waebrania 11:24

Marejeo

  • +Kut 2:11
  • +Kut 2:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, kur. 21-22

    4/15/2014, kur. 3-4

    6/15/2002, uku. 11

    1/15/1987, kur. 13-14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w02 6/15 11

Waebrania 11:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, kur. 21-22

    4/15/2014, kur. 3-4

    9/15/2005, kur. 16-17

    6/15/2002, uku. 11

    1/15/1987, uku. 14

    Amkeni!,

    12/8/1991, kur. 22-23

    Kuishi Milele, kur. 218-219

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 9/15 16-17; w02 6/15 11

Waebrania 11:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, kur. 21-22

    4/15/2014, kur. 5, 6-7

    3/15/2012, uku. 28

    6/15/2002, uku. 11

    11/15/1992, uku. 30

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 3/15 28; w02 6/15 11

Waebrania 11:27

Marejeo

  • +Kut 12:51
  • +Kut 10:28
  • +1Ti 1:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 83

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2014, kur. 8-10

    8/15/2005, kur. 22-23

    6/15/2001, kur. 18-23

    12/15/1999, kur. 21-22

    9/1/1995, uku. 9

    11/15/1993, uku. 14

    1/15/1987, kur. 14-15

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 8/15 22-23; w01 6/15 18-23; w99 12/15 21-22

Waebrania 11:28

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “asiwaguse.”

Marejeo

  • +Kut 12:21-23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2014, kur. 10-11

    1/15/1987, uku. 15

Waebrania 11:29

Marejeo

  • +Kut 14:22
  • +Kut 14:27, 28

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2014, kur. 11-12

Waebrania 11:30

Marejeo

  • +Yos 6:15, 20

Waebrania 11:31

Marejeo

  • +Yos 6:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/2013, uku. 13

    1/15/1987, kur. 15-16

Waebrania 11:32

Marejeo

  • +Amu 6:11
  • +Amu 4:6
  • +Amu 13:24
  • +Amu 11:1
  • +1Sa 16:13
  • +1Sa 3:20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Igeni, kur. 70-71

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/2011, kur. 25-26

    1/15/1987, kur. 16-17

    “Kila Andiko,” uku. 50

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 1/1 25-26

Waebrania 11:33

Marejeo

  • +Amu 7:12, 22
  • +2Sa 7:8, 12
  • +Amu 14:5, 6; 1Sa 17:34-36; Da 6:21, 22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, uku. 23

    Igeni, kur. 70-71

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/2011, kur. 25-26

    12/1/1988, uku. 15

    1/15/1987, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 1/1 25-26

Waebrania 11:34

Marejeo

  • +Da 3:23-25
  • +2Fa 6:15, 16
  • +Amu 16:28; 1Fa 18:46
  • +Amu 11:32
  • +Amu 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, uku. 23

    Unabii wa Danieli, uku. 81

    Mnara wa Mlinzi,

    12/1/1988, uku. 15

    1/15/1987, kur. 17-18

    2/1/1986, uku. 10

  • Fahirishi ya Machapisho

    dp 81

Waebrania 11:35

Marejeo

  • +1Fa 17:22-24; 2Fa 4:32, 34

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, kur. 23-24

    The Watchtower,

    5/1/2005, kur. 5-6, 17

    2/15/1995, kur. 10-11

    3/15/1994, uku. 13

    1/15/1987, uku. 18

    Kuishi Milele, uku. 173

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 5/1 5-6, 17

Waebrania 11:36

Marejeo

  • +Yer 20:2
  • +Yer 37:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, uku. 23

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1987, kur. 18-19

Waebrania 11:37

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “vipandevipande.”

Marejeo

  • +2Nya 24:20, 21
  • +1Fa 19:10
  • +2Fa 1:8
  • +1Fa 19:2
  • +1Fa 22:24; Yer 38:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1987, kur. 18-19

Waebrania 11:38

Marejeo

  • +1Fa 18:4; 19:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    10/2016, uku. 23

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/1989, uku. 16

    1/15/1987, kur. 18-19

Waebrania 11:40

Marejeo

  • +Ebr 2:3; 3:1; 7:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Upeo wa Ufunuo, kur. 102-103

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2002, uku. 30

    2/1/2002, kur. 22-23

    1/15/1987, uku. 19

    Kutoa Sababu, uku. 147

  • Fahirishi ya Machapisho

    re 102-103; rs 147; w02 2/1 22-23; w02 4/15 30

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Ebr. 11:1Ebr 11:13
Ebr. 11:4Mwa 4:5
Ebr. 11:4Mwa 4:4
Ebr. 11:4Mwa 4:8, 10
Ebr. 11:5Mwa 5:22; Yud 14
Ebr. 11:5Mwa 5:24
Ebr. 11:6Zb 58:11; Sef 2:3; Mt 5:12; 6:33
Ebr. 11:7Mwa 6:8, 9
Ebr. 11:7Mwa 6:13, 17
Ebr. 11:7Mwa 6:14
Ebr. 11:7Mwa 6:22; 2Pe 2:5
Ebr. 11:8Ro 4:9, 11
Ebr. 11:8Mwa 12:1, 4
Ebr. 11:9Mwa 23:4
Ebr. 11:9Mwa 12:8
Ebr. 11:9Mwa 17:6; 26:3; 28:13
Ebr. 11:10Ebr 11:16
Ebr. 11:11Mwa 17:17; 21:2
Ebr. 11:12Ro 4:19
Ebr. 11:12Mwa 21:5
Ebr. 11:12Mwa 22:17; 1Fa 4:20
Ebr. 11:13Mwa 47:9
Ebr. 11:13Yoh 8:56
Ebr. 11:15Mwa 11:31
Ebr. 11:16Kut 3:6, 15
Ebr. 11:16Ebr 11:10; 12:22
Ebr. 11:17Mwa 22:1, 2
Ebr. 11:17Mwa 22:9, 10; Yoh 3:16
Ebr. 11:18Mwa 21:12
Ebr. 11:191Ko 10:11
Ebr. 11:20Mwa 27:27-29
Ebr. 11:20Mwa 27:38-40
Ebr. 11:21Mwa 47:29
Ebr. 11:21Mwa 48:15, 16, 20
Ebr. 11:21Mwa 47:31
Ebr. 11:22Mwa 50:24, 25; Kut 13:19
Ebr. 11:23Kut 2:2
Ebr. 11:23Mdo 7:20
Ebr. 11:23Kut 1:16, 22
Ebr. 11:24Kut 2:11
Ebr. 11:24Kut 2:10
Ebr. 11:27Kut 12:51
Ebr. 11:27Kut 10:28
Ebr. 11:271Ti 1:17
Ebr. 11:28Kut 12:21-23
Ebr. 11:29Kut 14:22
Ebr. 11:29Kut 14:27, 28
Ebr. 11:30Yos 6:15, 20
Ebr. 11:31Yos 6:17
Ebr. 11:32Amu 6:11
Ebr. 11:32Amu 4:6
Ebr. 11:32Amu 13:24
Ebr. 11:32Amu 11:1
Ebr. 11:321Sa 16:13
Ebr. 11:321Sa 3:20
Ebr. 11:33Amu 7:12, 22
Ebr. 11:332Sa 7:8, 12
Ebr. 11:33Amu 14:5, 6; 1Sa 17:34-36; Da 6:21, 22
Ebr. 11:34Da 3:23-25
Ebr. 11:342Fa 6:15, 16
Ebr. 11:34Amu 16:28; 1Fa 18:46
Ebr. 11:34Amu 11:32
Ebr. 11:34Amu 4:16
Ebr. 11:351Fa 17:22-24; 2Fa 4:32, 34
Ebr. 11:36Yer 20:2
Ebr. 11:36Yer 37:15
Ebr. 11:372Nya 24:20, 21
Ebr. 11:371Fa 19:10
Ebr. 11:372Fa 1:8
Ebr. 11:371Fa 19:2
Ebr. 11:371Fa 22:24; Yer 38:6
Ebr. 11:381Fa 18:4; 19:9
Ebr. 11:40Ebr 2:3; 3:1; 7:22
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Waebrania 11:1-40

Kwa Waebrania

11 Imani ni tarajio lililohakikishwa la mambo yanayotumainiwa,+ uthibitisho ulio wazi* wa mambo halisi ambayo hayaonekani. 2 Kwa maana kupitia imani, watu wa nyakati za kale* walitolewa ushahidi.

3 Kwa imani tunatambua kwamba mifumo ya mambo* ilipangwa kwa utaratibu kwa neno la Mungu, hivi kwamba kile kinachoonekana, kimekuwapo kutokana na vitu visivyoonekana.

4 Kwa imani, Abeli alimtolea Mungu dhabihu ya thamani kubwa zaidi kuliko ile ya Kaini,+ na kupitia imani hiyo alitolewa ushahidi kwamba alikuwa mwadilifu, kwa kuwa Mungu alikubali* zawadi zake,+ na ingawa alikufa, bado anazungumza+ kupitia imani yake.

5 Kwa imani, Enoko+ alihamishwa ili asione kifo, naye hakupatikana popote kwa sababu Mungu alikuwa amemhamisha;+ kwa maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ametolewa ushahidi kwamba amempendeza Mungu vema. 6 Isitoshe, bila imani haiwezekani kumpendeza Mungu vema, kwa maana yule anayemkaribia Mungu lazima aamini kuwa yuko* na kwamba yeye huwa mthawabishaji wa wale wanaomtafuta kwa bidii.+

7 Kwa imani, Noa+ baada ya kuonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo bado hayakuwa yameonekana,+ alimtii Mungu* kwa kujenga safina+ kwa ajili ya kuiokoa nyumba yake; na kupitia imani hiyo aliuhukumu ulimwengu,+ naye akawa mrithi wa uadilifu unaotokana na imani.

8 Kwa imani, Abrahamu+ alipoitwa alitii kwa kutoka na kwenda mahali ambapo angepokea kuwa urithi; aliondoka, ingawa hakujua mahali alipokuwa akienda.+ 9 Kwa imani aliishi akiwa mgeni katika nchi ya ahadi kama katika nchi ya kigeni,+ akiishi kwenye mahema+ pamoja na Isaka na Yakobo, warithi pamoja naye wa ahadi ileile.+ 10 Kwa maana alikuwa akingojea jiji lililo na misingi ya kweli, ambalo mbuni* na mjenzi wake ni Mungu.+

11 Kwa imani, Sara pia alipokea nguvu za kupata uzao,* ingawa alikuwa amepita umri,+ kwa kuwa alimwona kuwa mwaminifu* Yule aliyekuwa ameahidi. 12 Kwa sababu hiyo, kutoka kwa mwanamume mmoja, ambaye alikuwa kama mfu,+ walizaliwa watoto+ wengi kama nyota za mbinguni na wasiohesabika kama mchanga ulio kando ya bahari.+

13 Katika imani hawa wote walikufa, ingawa hawakupokea utimizo wa zile ahadi;+ bali waliziona kwa mbali+ na kuzikaribisha na kutangaza hadharani kwamba walikuwa wageni na wakaaji wa muda katika nchi.⁠ 14 Kwa maana wale wanaozungumza hivyo wanathibitisha kwamba wanatafuta kwa bidii mahali pao wenyewe. 15 Na bado, kama wangeendelea kukumbuka mahali walipokuwa wametoka,+ wangepata nafasi ya kurudi. 16 Lakini sasa wanajitahidi kufikia mahali bora zaidi, yaani, panapohusiana na mbinguni. Kwa hiyo, Mungu haoni aibu kuwahusu, anapoitwa Mungu wao,+ kwa maana ametayarisha jiji kwa ajili yao.+

17 Kwa imani, Abrahamu alipojaribiwa,+ ni kana kwamba alimtoa Isaka—mtu huyo aliyekuwa amezipokea ahadi kwa furaha alijaribu kumtoa mwana wake mzaliwa-pekee+— 18 ingawa alikuwa ameambiwa: “Ule utakaoitwa uzao* wako utapitia kwa Isaka.”+ 19 Lakini alifikia uamuzi kwamba Mungu angeweza kumfufua hata kutoka kwa wafu, naye alimpokea kutoka huko kwa njia ya mfano.+

20 Kwa imani pia, Isaka alimbariki Yakobo+ na Esau+ kuhusu mambo yatakayokuja.

21 Kwa imani, Yakobo alipokuwa karibu kufa,+ aliwabariki wana wawili wa Yosefu+ na akaabudu huku akiegemea juu ya fimbo yake.+

22 Kwa imani, Yosefu akikaribia mwisho wake, alizungumza kuhusu kutoka* kwa wana wa Israeli, naye akawapa maagizo* kuhusu mifupa* yake.+

23 Kwa imani, Musa alifichwa kwa miezi mitatu na wazazi wake baada ya kuzaliwa,+ kwa sababu waliona kwamba huyo mtoto mchanga alikuwa mwenye kupendeza+ nao hawakuliogopa agizo la mfalme.+ 24 Kwa imani, Musa alipokuwa mtu mzima,+ alikataa kuitwa mwana wa binti ya Farao,+ 25 akachagua kuteswa pamoja na watu wa Mungu badala ya kufurahia dhambi kwa muda, 26 kwa sababu aliona shutuma ya Kristo kuwa utajiri mkubwa kuliko hazina za Misri, kwa maana alikaza macho kwenye malipo ya thawabu. 27 Kwa imani aliondoka Misri,+ lakini hakuogopa hasira ya mfalme,+ kwa maana aliendelea kuwa imara kama mtu anayemwona Yule asiyeonekana.+ 28 Kwa imani alifanya sherehe ya Pasaka na kupaka damu, ili mwangamizaji asiwadhuru* wazaliwa wao wa kwanza.+

29 Kwa imani walipita katika Bahari Nyekundu kama kwenye nchi kavu,+ lakini Wamisri walipojaribu kupita wakamezwa.+

30 Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.+ 31 Kwa imani, Rahabu yule kahaba hakuangamia pamoja na wale waliokosa kutii, kwa sababu aliwapokea wale wapelelezi kwa amani.+

32 Nami nitasema nini zaidi? Kwa maana nitakosa wakati nikiendelea kusimulia kuhusu Gideoni,+ Baraka,+ Samsoni,+ Yeftha,+ Daudi,+ na vilevile Samweli+ na wale manabii wengine. 33 Kupitia imani walishinda falme,+ wakaleta uadilifu, wakapata ahadi,+ wakaziba vinywa vya simba,+ 34 wakazima nguvu za moto,+ wakaponyoka makali ya upanga,+ wakafanywa kuwa wenye nguvu kutoka kwenye hali ya udhaifu,+ wakawa mashujaa katika vita,+ wakayashinda kabisa majeshi ya wavamizi.+ 35 Wanawake waliwapokea wafu wao kupitia ufufuo,+ lakini watu wengine waliteswa kwa sababu hawakukubali kuachiliwa kupitia fidia fulani, ili waupate ufufuo ulio bora. 36 Ndiyo, wengine walipata jaribu lao kwa kudhihakiwa na kupigwa kwa mijeledi, naam, isitoshe, kwa kufungwa minyororo+ na magerezani.+ 37 Walipigwa mawe,+ walijaribiwa, walikatwa vipande viwili* kwa msumeno, walichinjwa kwa upanga,+ walitembea huku na huku wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi,+ wakiwa katika uhitaji, katika dhiki,+ wakiteswa;+ 38 na ulimwengu haukuwafaa. Walitembea huku na huku katika majangwa na milima na mapango+ na mashimo ya dunia.

39 Na bado hawa wote, ingawa walitolewa ushahidi unaofaa kwa sababu ya imani yao, hawakupata utimizo wa ile ahadi, 40 kwa sababu Mungu aliona mapema kitu bora kwa ajili yetu,+ ili wasifanywe kuwa wakamilifu bila sisi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki