-
Waebrania 11:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa imani yeye alikaa kama mgeni asiye mzalia katika nchi ya ahadi kama katika nchi ya ugenini, na kukaa katika mahema pamoja na Isaka na Yakobo, warithi pamoja naye wa ahadi ileile.
-